Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mkoa
wa Arusha, imepanga kutoa zaidi ya matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima,
ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha kilimo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu, Titus Lazaro
alitoa taarifa hiyo kwenye hafla ya kutoa matrekta manne yenye thamani
ya Sh70 milioni kwa vikundi vya wakulima wilayani hapa juzi.
Lazaro alisema kupitia mpango wa Kilimo Kwanza, halmashauri hiyo imejipanga kuwa mfano Arusha kwa kusaidia wakulima wake.
“Leo vikundi hivi vimepata matrekta manne, kwa
sababu walikubali kujiunga na sasa wameanza kunufaika na uwezeshaji wa
pembejeo ,” alisema.
kupitia dirisha la kilimo kwanza”alisema Lazaro.
Chanzo:Mwananchi
Chanzo:Mwananchi
0 comments:
Post a Comment