Home » » Vijiji vyapewa mgao wa Sh221 milioni

Vijiji vyapewa mgao wa Sh221 milioni

Ngorongoro. Vijiji 17 vya Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha, vimepewa Sh 221 milioni, ili zitumike katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mwaka wa fedha wa 2013/14.
Fedha hizo zimetolewa na Baraza la Wafugaji wa tarafa hiyo.
Ofisa mtendaji wa baraza hiyo, Parkepo Nakoroi, alisema kila kijiji kitapata Sh 13 milioni.
Alisema fedha hizo, zimetolewa baada ya baraza kupokea mgao wa Sh2 bilioni kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
Chanzo;Mwananchi

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa