Arusha
Home » » Breaking News:Watu 200 wanusurika kufa kwa ndege.

Breaking News:Watu 200 wanusurika kufa kwa ndege.

BREAKING NEWS:Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura

Chanzo ITV

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa