Mr . Peter akiwa anatoa maneno machache ya kuwakaribisha wageni katika mkutano huo unaofanyika usiku huu
Msemaji wa kwanza Mrs. Tibaijuka akiwa anatoa Mada yake juu ya uharifu wa Tembo na jinsi watu walivyo weza kuchangia
Baadhi ya wadau wakiwa wanafuatilia mkutano wa siku ya tembo kwa makini, usiku huu ndani ya Arusha Hotel
Huu ni upande mwengine ambao watu wanafuatilia kwa umakini mkutano huu ambao watu wanatoa Mada juu ya Ujangili dhidi ya Tembo na jinsi ya kukomesha swala hilo
Mr. Alfred Kikoti akitoa mada yake juu ya majangili wa kuuwa Tembo na vitu gani vimefanyika kuwaondoa, Pia amezungumzia kifupi mkutano wao na Muheshimiwa Rais Kikwete ambapo sasa Amesapoti Jeshi kutumika kupigana na Ujangili huo
Baadhi ya Viongozi wa Tanzania Tours Operators (TATO) wakiwa wanasikiliza mada kwa makini Usiku huu
Mr. Alfred Kikoti akionesha baadhi ya Majangili wanaotumia Maboga kwa ajili ya kuwauwa Tembo
Hizi ni Baadhi ya Nyara za Meno ya Tembo yaliokamatwa
Hii inasikitisha sana ni Tembo Ambao wadogo wamekufa, kushoto ni tembo mkubwa akizania tembo mdogo ni mzima
Msemaji wa pili ambaye ni mkurugenzi wa Pams Foundation Mr. Wyne Lotter akizungumzia jinsi Organisation yake inavyofanya kazi na kupingana na ujangili wa Tembo .
Mwenyekiti wa Tanzania Tours Operators (TATO) Mr. William Chambulo, akitoa neno la kushukuru wakati wa kufunga mkutano wa Matembezi ya tembo Usiku huu.
Mwenyekiti wa Tanzania Tours Operators (TATO) Mr. William Chambulo, akitoa neno la kushukuru wakati wa kufunga mkutano wa Matembezi ya tembo Usiku huu.
Mkutano huu umeandaliwa na Tanzania Tours Operators Association.
KESHO NDIO MATEMBEZI YENYEWE RASMI KUANZIA SA MOJA NA NUSU ASUBUHI.
PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA
0 comments:
Post a Comment