Home » » PICHA KIPINDI CHA PILI: MBEYA CITY FC YAWANYAMAZISHA JKT OLJORO FC NYUMBANI KWAO ARUSHA KWA KUWAFUNGA MAGOLI MAWILI KWA MOJA!

PICHA KIPINDI CHA PILI: MBEYA CITY FC YAWANYAMAZISHA JKT OLJORO FC NYUMBANI KWAO ARUSHA KWA KUWAFUNGA MAGOLI MAWILI KWA MOJA!

 Kipindi cha pili kikiwa kimeanza kwa kasi
 Mchezaji wa JKT Oljoro akiwa amefanyiwa Madhambi
 Mpira unaenda kwa kasi sana

 Wachezaji wa JKT Oljoro wakiwa wanashangilia Goli la kwanza Lililo Fungwa na Expedito Kiduko(28) dakika ya 35
 Mashabiki wa JKT Oljoro wakiwa wanashangilia Goli

 Peter Mapunda akiwa ameipatia Mbeya City Fc Goli la pili lililofungwa dakika ya 39
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Ushindi
 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanafurahia Goli la Pili
 Benchi La ufundi la JKT Oljoro wakiwa wanafuatilia Mechi kwa Umakini zaidi
 Mpira unazidi kuwa mkali kila mmoja akitaka kufunga goli
 Mpira si mchezo hapa
 Dakika chache kabla ya Mpira kwisha
 Mpira umekwisha wachezaji wa Mbeya City wakiwa wanashukuru
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh.  Atanath Kapunga  akipewa mkono wa Pongezi 
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangila baada ya Mpira kumalizika 
Palikuwa hapatoshi hapa wakati Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Ushindi  Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh.  Atanath Kapunga  alishindwa kujizuia na Kushuka katika Gari.. Nini Kilifuatiia.. 
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya Mh.  Atanath Kapunga  akiwa katikati ya Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Ushindi. Hapa walikuwa wanaimba wimbo wa kuashiria ushindi... Usikose kuona Video hii ya kushangilia inakuja.
Kutoka kushoto Aliye Vaa Kofia anaitwa Bwana Kimbe ambaye anaisapoti Timu ya Mbeya City Fc kwa kiasi kikubwa 
Mashabiki hao wa Mbeya City wakipata picha ya Pamoja
Mashabiki wa Mbeya City Fc tena wamefunga Baadhi ya Barabara za Arusha wakishangilia Ushindi 
Ma mia ya watu wakiwashangaa Mashabiki wa Mbeya City Fc....

Hapa ndipo Mwisho... Tukio zima limerushwa kwenu na Tone Multimedia Live Group ..

MATANGAZO HAYA YA MOJA KWA MOJA YALIDHAMINIWA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

PICHA ZOTE NA BLOGS ZA MIKOA

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa