CHADEMA kimekomba kata zote 4 Arusha. Umoja wa watu wa Arusha, upeo wao, utayari wao
na ari ya kudai ukombozi haiwezi kulipwa kwa gharama yeyote, ila tunasema
ASANTENI MAKAMANDA WA ARUSHA. ###CHADEMA2015##
Cha
kufanya sasa:
Makamanda
kila mmoja ahakikishe anapata kitambulisho cha Taifa kwa gharama yoyote ile
2015 tunataka CCM ipate kura za Lipumba za 2010.
Matokeo ni kama ifuatavyo;
KATA
YA THEMI
CHADEMA
678
CCM
326
CUF
313
KATA
YA KIMANDOLU
CHADEMA
2665
CCM
1169
KATA
YA KALOLENI
CHADEMA
1019
CCM
389
CUF
169
KATA
YA ELERAI
CHADEMA
1715
CCM
1239
CUF
213
1 comments:
Ni. Unafiki kupunguza kura zap chadema,wewe takwimu zako umezipata wapi au Ccm?
Post a Comment