Home » » Just in: MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE NA GODBLESS LEMA WAJISALIMISHA KITUO CHA POLISI ARUSHA.

Just in: MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE NA GODBLESS LEMA WAJISALIMISHA KITUO CHA POLISI ARUSHA.

Kwa Taarifa zilizo tufikia katika chumba chetu cha habari zinasema kwamba Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wamejisalimisha wenyewe leo asubuhi  katika kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhojiwa.

Endelea kufuatilia hapa 


0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa