Home » » Kongamano la Ukimwi kwa Wanavyuo Vikuu Jijini Arusha Siku ya Ukimwi Duniani.

Kongamano la Ukimwi kwa Wanavyuo Vikuu Jijini Arusha Siku ya Ukimwi Duniani.



 Wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Arusha wakiwa katika tamasha la siku ya Ukimwi duniani  lililofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu cha Makumira, tamasha hilo limeandaliwa na kituo cha radio 5 kwa kushirikiana na jumuiya ya Afrika Mashariki nia ikiwa  kuwahamasisha vijana wasipoteze malengo yao.(Picha na Ahmed Mahmoud).

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa