Home » » Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana Aung'uruma Arusha

Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana Aung'uruma Arusha


Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM la Nguruma, Arumeru, Arusha jana
Ngoma wa Kimasai, mkutano wa Meru, Arusha jana
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akisalimiana na Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha, Mary Chatanda.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisalimiana na Mbunge wa Monaduli na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto  Ktb wa CCM mkoa wa Arusha Mary
Chatanda.
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara
Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nape akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward  Lowassa kwenye mkutano wa Kinana uliofanyika Usa River, Arusha.
Baadhi ya vijana 150 wa Chadema waliohamia CCM wakionyesha kadi za Chadema , wakati wa mkutano wa Usa River jana
 
Wazee wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu
wa CCM, Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha.
Anayemkabidhi ni  Ezrom Sumari.
 
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana akivishwa mavazi ya jadi, ya Wameru, wakati wa mkutano uliofanyika Usa River, Arusha jana
 
Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman  Kinana akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na
wazee wa  Meru, katika Mkutano  wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha jana
Mzee  Wilson Meng'atu akimvisha vazi la heshima Nape Nnauye kama
ishara ya wazee wa Kimeru kutambua upambanaji wake katika kujenga Chama,
wakati wa mkutano wa Usa River, Arusha jana
Wazee wa Kimeru wakimvisha jazi la jadi, katibu wa NEC
Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib kumpongeza kushika nafasi hiyo ya
kujenga uhai wa Chama, kwenye mkutano wa CCM Usa River, Arusha.
Wazee wa Kimeru wakimvisha  Wasira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi
katika  Uwanja  wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana.Picha na Bashir
Nkoromo-idara ya itikadi na Uenezi-CCM

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa