Home » » Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Washiriki Mazishi ya aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samillah

Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Washiriki Mazishi ya aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House Keeper), Lucy Samillah



Jeneza likiteremshwa kaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini kitabu vha maombolezo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka mchanga kaburini

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiweka mchanga kaburini

 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akiweka mchanga kaburini
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa watoto wa marehemu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa ndugu wa marehemu
 Waziri Mkuu, Mizengo PInda akitoa heshima
za mwisho kwa aliyekuwa Mtundza Ikulu ya Arusha (hose keeper), Lucy
Samillah katika ibada ya mazishiliyfanyika nyumbani kwa marehemu, Arsha
Mjini Oktoba 31, 2012
 Waziri Mkuu, Mizemgo Pinda akiweka mchanga
kwenye kaburi la aliyekuwa mwanagalizi wa Ikulu ya Arusha (House
Keeper), Lucy Samilaah katika mazishi yake yaliyofanyika, Arusha Oktoba
31, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada
la maua kwenye  kaburi la aliyekuwa mtunza Ikulu ya Arusha (House
Keeper), Lucy Samillah katika Mazishi yaliyofanyika Arusha, Oktoba
31,2012.Picha na IKULU,Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa