Home » » WANAFUNZI WANUSURIKA NA BOMU LA MACHOZI JIJINI ARUSHA

WANAFUNZI WANUSURIKA NA BOMU LA MACHOZI JIJINI ARUSHA



Kamanda wa Operesheni Maalumwa Jeshi la Polisi, Peter Mvulla akiwa
ameshika bomu la kutoa machozi aloilolichukua kutoka kwa mmoja wa
wanafuzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa
Arusha. Bomu hilo lilirushwa kwa wanafunzi hao askari wa Kikosi cha
Kutuliza Ghasia (FFU) bila ya kulipuka na kuwaepusha na madhara ambayo
yangeweza kutokea. (Picha na Grace Macha) 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa