Arusha
Home » » MHESHIMIWA NABII GEOR DAVIE AWATAMKIA WAFANYABIASHARA ARUSHA BARAKA

MHESHIMIWA NABII GEOR DAVIE AWATAMKIA WAFANYABIASHARA ARUSHA BARAKA

 muheshimi |Nabii Dr,Geor Davie akiwa anawasili katika kituo cha mabasi madogo cha arusha sehemu ambayo aliandaliwa kwa ajili ya kuwatamkia baraka wafanya biashara wa Arusha pamoja na wananchi wa jiji hilo kwa ujumla
 wananchi waliouthuria katika mkutano huo wa muda mfupi
 picha ikionyesha wananchi wakiwa wanamsubiri nabii
 Akishuka kwenye gari
 mpiga picha  ambaye kwa habari ambazo libeneke limezipa zinadai kuwa ni mtoto wa kwanza wa nabii akiwa anaendelea kufanya kazi yake
 wananchi wakiwa wengine wamepanda juu ya vibanda kwa wakipokea baraka

mara baada ya nabii kuondoka standi ndogo ilisemekana ameenda katika uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid ivyo waumini wengi wa ngurumo ya upako walienda kumsubiri nje ya geti la uwanja huo ambao leo hii pia utakuwa na mechi ya timu ya Jkt Oljoro pamoja na African lion  ,hivyo wafuasi hao kuzuiwa kuingia

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa