Katibu Mkuu wa Cuf ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho wakati wa kuzindua oparesheni ya v4c katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Levolisi jijini Arusha.
wafuasi wa Chama cha wananchi (Cuf) wakishika vichwa kama ishara ya kuzomea vyama vya siasa nchini vinavyowapa vijana pombe za viroba na konyagi katika uwanja wa Levolosi uliopo jijini Arusha hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment