Home » » LIVEEE!!!Hali Tete uwanja wa Kilombero ma tyre yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani

LIVEEE!!!Hali Tete uwanja wa Kilombero ma tyre yachomwa moto, Polisi watoa onyo wananchi watawanyike kwa amani

 Hivi Ndivyo wananchi wanavyo Choma matail muda huu eneo la uwanja wa Kilombero ambao uliuzwa kinyemela na sasa wananchi wamerudisha na kulifanya soko.
 Hapa Wakati wanachoma Mbao pamoja na Mataili wananchi wengine wanabomoa bomoa uzio
Muda mchache sasa Fire wamesha fika kwa ajili ya kuzima moto, wakati huo vurugu ndio zinanukia kuanza huku


Endelea kufuatilia.

Picha zote na : www.blogszamikoa.blogspot.com

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa