Home » » Hili ndilo Kundi la Polisi lililo fika eneo la uwanja wa kilombero , lakini sasa mambo Shwari wameondoka bila kufanya kitu chochote!

Hili ndilo Kundi la Polisi lililo fika eneo la uwanja wa kilombero , lakini sasa mambo Shwari wameondoka bila kufanya kitu chochote!



 Lilifika Gari moja kwanza

Hali ilipo zidi kuwa tete yakaongezeka Mawili
Sasa Yamekuwa matatu na yote yamejaa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..

Hata Hivyo mpaka tunapo toa Taarifa muda huu Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari kabisa, Taarifa kamili itawaajia baadae. 
Hili lilikuwa tuu ni tukio Live katika picha kuwaonesha jinsi mambo yanavyo kwenda pande za Arusha 

PICHA ZOTE NA 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa