Arusha
Home » » WAKUU WAPYA WA WILAYA MKOANI ARUSHA WAAPISHWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

WAKUU WAPYA WA WILAYA MKOANI ARUSHA WAAPISHWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA




Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiwa anaapa kiapo cha utiifu mbele ya mkuu wa mkoa wa arusha Magesa Mulongo leo


Akuu wa wilaya ya Arumeru  Nyirembe Munasa akiwa anakula kiapo cha uaminifu mbele ya mgeni rasmi




 Wakuu wa wilaya wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa  wa Arusha (picha zote na  Gladness Mushi-Arusha

Katika jiji la Arusha leo wakuu wapya wilaya wameapishwa ambapo  Mkuu
wa mkoa wa Arusha magesa mulongo amewaotaka wasiliwe sifa na badala yake
wahakikishe kuwa wanajikita zaidi katika kutatua kero za  wananchi.

Mbali na hayo aliwataka washirikiane na Madiwani katika kutatua
tatizo la hati chafu ndani ya halmashauri kwa kuwa kati ya halmashauri
zote jijini hapa iliyo na hati safi kidogo ni halmashauri ya Meru pekee

Pia
aliwataka wakuu hao kuhakikisha hawapigwi chenga na sheria mbalimbali
hasa za vijiji na ile ya asilimia ishirini kwa kila lkijiji kwa kuwa kwa
sasa halmashauri zinakwepa sheria hiyo na hali hiyo inapelekea
wenyeviti wa vijijiji kuwa katika hali nghumu ya kiutendaji

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa