Home » » Warsha ya Mafundi Wa Teknolijia Mbadala ya Viyoyozi na Majokofu na Umuhimu Wake

Warsha ya Mafundi Wa Teknolijia Mbadala ya Viyoyozi na Majokofu na Umuhimu Wake


Bw.
Erasto Mosha, mkufunzi kutoka VETA Moshi akitoa mada kuhusu teknolijia
mbadala ya viyoyozi na majokovu na umuhimu wake katika warsha ya
mafundi mchundo hawapo pichani, iliyofanyika mjini Arusha.
Washiriki
wa warsha ya mafunzo ya mafundi mchundo kuhusu teknolojia mbadala ya
majokofu na viyoyozi,wakisikiliza mada inayohusu umuhimu wa teknolojia
hiyo mbadala.

Picha na Evelyn Mkokoi -Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa