Home » » NMB yatoa Msaada wa Shilingi Mil.10 kwa ajili ya Mafuriko yaliyo ukumba mji wa Mto wa Mbu, Wilayani monduli pia Mh Lowasa akutana Shy-Rose Leo.

NMB yatoa Msaada wa Shilingi Mil.10 kwa ajili ya Mafuriko yaliyo ukumba mji wa Mto wa Mbu, Wilayani monduli pia Mh Lowasa akutana Shy-Rose Leo.



 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB, Bi Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli leo  kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya waathirika  wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Vicky Bishubo.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Mh. Jowika Kasunga (kulia) pamoja na DAS wa Monduli,George Mjema wakifuatilia kwa makini mazungumzo hayo.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa