Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nasary akitoa salamu za Pole kwa wafiwa wote wakati wa mazishi ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015 na kuzikwa kijijini kwao Sing'isi Meru tarehe 12.02.2015 .
Baba wa Marehemu Mzee Pendael T. Pallangyo akitoa Salam zake za Mwisho kwa Mwanae Mpendwa Emmanuel Pallangyo
Kaka
Mkubwa wa Marehemu Elisante Pallangyo, akifuatiwa na Dada zake
Eliakunda Pallangyo, Magreth Pallangyo pamoja na Sarah Pallangyo
wakitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu Emmanuel Pendael
Pallangyo Kijijini kwao Sing'isi Meru Arusha.
Wa
kwanza kulia ni Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nasary akiwa na
kwenye msiba wa Marehemu Emmanuel Pallangyo ambaye alikuwa ni
Mwanafunzi wa IFM nyumbani kwao Sing'isi Meru.
Mmoja wa wanafamilia akisoma Wasifu wa Marehemu Emannuel Pendael Pallangyo
Msaidizi
wa Askofu mkuu wa Jimbo la Kaskazini Paulo Urio akiongoza Ibada ya
Mazishi ya Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo kijijini kwao Sing'isi
Meru.
Baadhi ya viongozi wa Dini kutoka Madhehebu Mbalimbali wakiwa wanaimba na waombolezaji wengine wakati wa ibada ya Mazishi.
Mkuu
wa jimbo la kaskazini Zelote Pallangyo akitoa Mahubiri wakati wa Misa
ya mazishi ya Marehemu Emmanuel Pallangyo kijijini kwao Sing'isi Meru.
Aliyeteuliwa
kuzungumza kwa niaba ya Familia Bwana Exaud Assery Pallangyo akitoa
salamu za shukurani za pekee kwa watu wote waliohudhuria Mazishi ya
Mpendwa wao Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe 7.02.2015
Jijini Dar es salaam na kuzikwa Tarehe 12.02.2015 Nyumbani kwao Sing'isi
Meru.
Baadhi
ya ndugu wa Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki tarehe
7.02.2015 wakiwa na simanzi wakati wa Ibada ya Mazishi kijijini kwao
Sing'isi Meru
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Ibada ya Mazishi ya Marehemu Emmanuel Pallangyo kijijini kwao Sing'isi Meru.
Mwili wa Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo ukipelekwa Makaburini kijijini kwao Sing'isi Meru kwa ajili ya Mazishi.
Baba wa Marehemu Mzee Pendael T. Pallangyo kushoto akiweka Shada la maua katika Kaburi la Mwanae Emmanuel Pendael Pallangyo.
Mh.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasary akiweka Shada la maua katika
Kaburi la Marehemu Emmanuel Pendael Pallangyo aliyefariki Tarehe
7.02.2015 na kuzikwa tarehe 12.02.2015 kijijini kwao Sing'isi Meru
Msaidizi wa Askofu Mkuu
wa Jimbo la Kaskazini Paulo Urio akimaliza Ibada Makaburini kwa kutoa
Mbaraka kwa watu wote waliofika katika mazishi ya Marehemu Emmanuel
Pendael Pallangyo yaliyofanyikia kijijini kwao Sing'isi Meru.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa Makaburini wakati wa mazishi.
0 comments:
Post a Comment