Arusha
Home » » BREAKING NEWS : BASI LA ABIRIA LA BM LIKITOKEA MORO KWENDA ARUSHA LAGONGA BODABODA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU HAPOHAPO ENEO LA BOMA NG'OMBE.

BREAKING NEWS : BASI LA ABIRIA LA BM LIKITOKEA MORO KWENDA ARUSHA LAGONGA BODABODA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU HAPOHAPO ENEO LA BOMA NG'OMBE.


Ni tukio la kusikitisha sana limetokea Muda si Mrefu eneo la Boma Ng'ombe Jijini Arusha ambapo Basi la Abiria la BM likitokea Morogoro limesababisha vifo vya watu watatu hapo hapo baada ya Kumgonga mwendesha Bodaboda ambaye alifariki hapo hapo na Baadae likatoka Nje ya barabara  na Kugonga watu wawili watembea kwa Mguu na kusababisha vifo vyao hapo hapo pia...   
Taarifa kamili zitawajia ...
 
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo eneo la Boma Ng'ombe Arusha 
Baadhi ya Magari yakiwa yamepaki pembeni Baada ya ajali hiyo kutokea
Baadhi ya watu wakiwa Nje wanatazama ajali hiyo 

Picha zote na Arusha yetu Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa