Home » » MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH. MRISHO GAMBO AMALIZA MGOGORO WA MAJI MAKILENGA

MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH. MRISHO GAMBO AMALIZA MGOGORO WA MAJI MAKILENGA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
      Mkuu Wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (katikati) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Mnyeti(kushoto0 wakiwalia katika kijiji cha Nkoasenga kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa maji Makilenga.

Mhandi wa Maji Happy Mrisho (aliyesimama)  akiwasilisha taarifa ya mradi  kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani) wakati wa kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa  Maji Makilenga
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Makilenga waliohudhuiria kwenye Mkutano wa hadhara
     Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alaxander Mnyeti akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga kwenye Mkutano wa hadara.

     Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo (aliyesimama mbele) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga kwenye Mkutano wa hadhara

     Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Nkoasenga wakifurahia makubaliano yaliyofikiwa katika ya Serikali na kijiji hicho ya kulipa Tsh 1500 kwa huduma ya maji mwezi mzima kwa wanaotumia mabomba ya Kijiji .

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa