Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wakulima Kanda ya Kaskazini(Taso)Arthur Kitonga akisoma
taarifa ya Taso inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha.
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa Taso Kanda ya Kaskazini,Mh
Joel Bendera akisistiza jambo kwenye mkutano wa ufunguzi uliofanyika
kwenye viwanja ya Nanaenane Njiro jijini Arusha,anayesikiliza kwa makini
ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda(wa pili kushoto).
Meneja
wa Shama la Mbegu la Serikali mkoa wa Arusha,Zawadiel Mrinji akionesha
mfuko ulitengenezwa maalumu kwa lengo la kudhibiti wadudu waharibifu
baada ya mavuno ili kumwezesha mkulima kunufaika na mazao yake.
Meneja
wa Shama la Mbegu la Serikali(ASA) mkoa wa Arusha,Zawadiel Mrinji
akizungumzia umuhimu wa zao la Ngano linalostawi kwa wingi wilaya ya
Monduli na Hanang .
Viongozi
wa serikali wakiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda(wa
tatu kulia)wakikagua bustani ya JKT ambayo imekua kivutio kwa wananchi
wanaotembelea maonesho ya Nanenane Njiro mkoani Arusha.
Viongozi
wa serikali wakikagua bustani ya JKT ambayo imekua kivutio kwa wananchi
wanaotembelea maonesho ya Nanenane Njiro mkoani Arusha.
Bustani ya taasisi ya Utafiti wa Kahawa(Tacri)hutembelewa na wakulima kujifunza namna bora ya kilimo cha Buni nchini. |
Wananchi wakipata maelezo kutoka kwenye banda la Sementi la Simba Cement .
Baadhi
ya wafanyakazi wa Benki Kuu(Arusha) ambao wanashiriki kwenye maonesho
hayo wakijumuika na wananchi kusikiliza hotuba ya Mkuu wa mkoa wa
Arusha ,Felix Ntibenda.
Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)Oljoro mkoa wa Arusha wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi.
Wanafunzi wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) kujifunza mambo mbalimbali yanatolewa na Chuo hicho.
Kikundi cha burudani kutoka JKT Oljoro wakionesha ufundi wao wa ngoma kutoka Pemba.
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment