Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa
wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan
Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi
katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea kiasi cha shilingi
laki moja kwaajili ya fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
Catherine Magige akionyesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
Catherine Magige akiteta jambo na akinamama waliokuja kumsindikiza kuchukua fomu,asisitiza kushirikiana na akinamama
Catherine Magige akisalimiana na akinamama
Catherine Magige akiingia katika jengo la CCM mkoa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
Hapa kampeni meneja wake Ezekiel akizungumza na akinamama waliomsindikiza Catherine Magige kuchukua fomu ya nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
0 comments:
Post a Comment