Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mkurugenzi wa Idara ya Daftri la Kudumu la Wapiga kura Dk.Sisti Griah akizungumza na waandishi wa habari
hawapo pichani leo katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya uchanguzi, juu ya Tume ya Taifa ya
uchaguzi kusogeza mbele siku saba,wa zoezi
la Uboreshaji wa Daftali la Wapiga Kura katika Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha
,Manyara na Mara Ambalo linataliajia kuanza Juni16 mwaka huu.Kulia ni
Mkurungenzi idara ya Elimu ya Mpiga kura Ruth Masham.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhulia katika mkutano wa mazungumzo ya
kuongeza siku za uandikishaji wa Daftali la wapiga kura.(PICHA NA
EMMANUEL MASSAKA.)
0 comments:
Post a Comment