Arusha
Home » » NEWS ALERT: KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA‏ JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU

NEWS ALERT: KITU KINACHOSADIKIWA NI BOMU CHALIPUKA ARUSHA‏ JIRANI NA HOTELI YA MOUNT MERU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Taarifa zilizotufikia za kusikitisha zinasema kwamba kumetokea mauaji katika mgahawa wa Wama ulioko Gymkhana jijini Arusha(Pichani chini). Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu zaidi ya 8 kujeruhiwa vibaya, idadi ya waliopoteza maisha bado haijajulikana, majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Seliani jijini Arusha.
Endelea kufuatilia hapa






1 comments:

Anonymous said...

Hizi picha ni za tukio lililotekea 2012. Fanteni research vizuri kwanza kabla ya ku-post habari as mna-create unnecessary mass hysteria.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa