Arusha.Wanachama wa Vicoba wameshauriwa
kujiunga na Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) ili kuwawezesha
kunufaika na fursa katika mifuko ya hifadhi ya jamii na hatimaye kupata
mikopo kwa ajili ya kuendeleza vikundi vyao.
Hayo yalisemwa jana na Meneja wa NSSF Mkoa wa
Arusha, Jackton Ochieng’ wakati akizungumza katika uzinduzi wa Vicoba,
Njiro uliofanyika mjini hapa.
“unajua unapojiuga kwenye mifuko hii unakuwa umewekeza,” alisema.
Chanzo;Mwananchi
Chanzo;Mwananchi
0 comments:
Post a Comment