Arusha
Home » » KCB BENKI YATOA MSAADA WA MAASHINE WENYE THAMANI YA TSH MILIONI 14 ARUSHA.

KCB BENKI YATOA MSAADA WA MAASHINE WENYE THAMANI YA TSH MILIONI 14 ARUSHA.

 Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)akipokea msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14  kwa niaba ya Kituo cha Afya cha Ngarenaro,kutoka kwa Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)
 Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akimsikiliza jambo Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)pindi alipomkabidhi msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo  kwa Kituo cha Afya cha Ngarenaro.
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akisalimiana na maofisa wa ofisi ya Meya wa jiji la Arusha walipofika katika Kituo cha Afya cha Ngarenaro kwa ajili ya kukabidhiwa  msaada wa  mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14  iliyotolewa na benki hiyo  kwa Kituo  hicho cha Afya.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa