Home » » HIVI NDIVYO UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA NNE ULIVYOKUWA JIJINI ARUSHA

HIVI NDIVYO UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA NNE ULIVYOKUWA JIJINI ARUSHA




 Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru 
Mashariki Joshua Nassari  aondoke nje ya
 kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata 
ya Kimandolu,pamoja na makada wa 
CCM hawako pichani am
bapo walitakiwa kukaa mita 200
 badala ya mita 100.
 Polisi wakimsihi Mbunge wa
 Arumeru Mashariki Joshua Nassari  
aondoke nje ya kituo cha kupigia
 kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu,
pamoja na makada wa CCM hawako
 pichani ambapo walitakiwa
 kukaa mita 200 badala ya mita 100.
 Makarani wa uchaguzi wakiingiza
 masanduku ya kura katika ofisi ya
 kata ya Kimandolu kutoka  kituo cha
 kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu. 
Makarani wa uchaguzi wakiingiza
 masanduku ya kura katika ofisi ya 
kata ya Kimandolu kutoka
  kituo cha kupigia k
ura cha shu
le ya msingi kimandolu. 
 Polisi wakiimarisha ulinzi katika 
lango kuu la kuingilia  kituo cha kupigia
 kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu 
katika uchaguzi ulifanyika leo mjini Arusha. 
 Mkazi wa kata ya kimandolu 
akichomvya wino mara baada 
ya kukamilisha zoezi  la kumchagua
 diwani wa kata hiyo liliofanyika jana 
katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
 Mkazi wa Kata ya Kimandolu 
akitumbukiza kura yake wakati wa
 uchaguzi wa madiwani uliofanyika mjini Arusha.
 Mkazi wa kimandolu,Juliana Mosha
 akitumbukiza kura yake katika 
sanduku la kura katika uchaguzi wa 
madiwani uliofanyika jana kuziba 
nafasi  ya aliyekuwa diwani wa
 kata hiyo,zoezi hili lilifanyika 
katika kituo cha kupigi
a kura cha ofisi ya kata
 Dina Naftal Mkazi wa kata ya
 kimandolu akitumbukiza kura 
yake katika sanduku la kura katika
 uchaguzi wa madiwani uliofanyika 
jana kuziba nafasi  ya aliyekuwa diwani
 wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika
 kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
 Wakala wa chama cha siasa akihakiki
 kitambulisho cha mpiga kura kabla ya
 kuruhusiwa kupiga kura ya kumchagua diwani wa
 kata hiyo y
a Kimandolu,zoezi hili lilifanyika katika
 kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
 Wakazi wa kimandolu wakifuatilia
 majina yao kwa makini ili kufahamu 
vyumba husika vya kupigia kura ya
 kumchagua diwani wa kata hiyo 
liliofanyika jana katika kituo cha 
kupigia kura cha ofisi ya kata
 Wakazi wa kimandolu wakifuatilia
 majina yao kwa makini ili kufahamu 
vyumba husika vya kupigia kura ya 
kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
 jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Wakazi wa kimandolu wakifuatilia
 majina yao kwa makini ili kufahamu
 vyumba husika vya kupigia kura ya
 kumchagua diwani wa kata hiyo 
liliofanyika jana katika kituo cha 
kupigia kura cha ofisi ya kata 
 Wakazi wa kimandolu wakifuatilia
 majina yao kwa makini ili kufahamu 
vyumba husika vya kupigia kura ya
 kumchagua diwani wa kata hiyo 
liliofanyika jana katika kituo cha
 kupigia kura cha ofisi ya kata
Polisi akiwasogeza wananchi
 waliokuwa karibu na kituo cha 
kupigia kura cha Shule ya msin
gi Kimandolu ambapo walitakiwa
 kukaa umbali wa mita 200 na 
sio mia 100 kama ilivyozoeleka.
 (Picha zote na Ferdinand Shayo)
CHADEMA kimekomba kata zote
 4 Arusha. Umoja wa watu wa Arusha, 
upeo wao, utayari wao na ari ya kudai
 ukombozi haiwezi kulipwa kwa
 gharama yeyote, ila tunasema
 ASANTENI MAKAMANDA WA ARUSHA. ###CHADEMA2015##
Cha kufanya sasa:
Makamanda kila mmoja ahakikishe 
anapata kitambulisho cha Taifa kwa
 gharama yoyote ile 2015 tunataka 
CCM ipate kura za Lipumba za 2010.
Matokeo ni kama ifuatavyo;

KATA YA THEMI
CHADEMA 678      
CCM 326
CUF 313
KATA YA KIMANDOLU
CHADEMA 2665
CCM 1169
KATA YA KALOLENI
CHADEMA 1019
CCM 389
CUF 169
KATA YA ELERAI
CHADEMA 1715
CCM 1239
CUF 213
###CHADEMA2015###

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa