Home » » JCB afunga ndoa na Diana Jorgensen

JCB afunga ndoa na Diana Jorgensen



Msanii wa Hip Hop kutoka kundi la WATENGWA ambalo maskani yao iko Arusha JCB, juzi aliuaga ukapela na kufunga ndoa na Diana Jorgensen pande za Arusha. 

Diana akidondosha wino kwenye kitabu cha ndoa 

Mtu mzima nae akidondosha wino 

Ndugu jamaa na marafiki waliofika kushuhudia tukio hilo la kipekee
Picha zote kwa hisani ya DJ CHOKA BLOG

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa