Home »
» Shule Ya St Gema Galgani Ya Arusha,Yachangisha Takribani 63,000,000.
Shule Ya St Gema Galgani Ya Arusha,Yachangisha Takribani 63,000,000.
 |
| Mkuu wa Mkoa akifungua Harambee. Katika Harambee hiyo ilikusudiwa ipatikane Tshs 46,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa madasara matatu. Mwisho wa zoezi hilo, zilipatikana 63,000,000.00 na ushee na kuvuka lengo ambalo lilikusudiwa. Fedha taslimu zilipataka takribani Tshs 6,000,000.00 na ahadi ambazo mwisho wa kuziwakilisha ni 30 October - 2012 ni takribani Tshs 57,0000,000.00. |
Picha na Mbezi Ramadhan
0 comments:
Post a Comment