Home » » MAALIM SEIF SHARIF HAMAD NA ZIARA YAKE YA KICHAMA MKOANI ARUSHA

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD NA ZIARA YAKE YA KICHAMA MKOANI ARUSHA


Makamu
wa kwanza wa raisi (SMZ) Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Katibu
Mkuu bara (CUF)Julius Mtatiro mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
Ndege wa kimataifa (KIA) kwa ajili ya ziara ya kichama kama katibu mkuu
wa (CUF) Jijini Arusha mwishoni mwa wiki, kulia ni mkuu wa mkoa wa
Arusha Magesa Mulongo.


Makamu
wa kwanza wa raisi (SMZ) Seif Sharif Hamad akisalimiana na Kamanda wa
polizi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas mara baada ya kuwasili Arusha
mwishoni mwa wiki.


Makamu
wa kwanza wa raisi (SMZ) Seif Sharif Hamad akisalimiana akiongozana na
mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili mkoani
Arusha mwishoni mwa wiki, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu bara chama cha
(CUF) Julius Mtatiro.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa