Home » » RAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LEO JIJINI ARUSHA

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WABUNGE WA TANZANIA KATIKA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LEO JIJINI ARUSHA


Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa
Tanzania Katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana
nao leo Juni 4, 2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini
Arusha. Wabunge hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na
wenzao wa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kesho ambapo wanatarajiwa
kuchagua Spika wa Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu
yao
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza  na Wabunge wa Tanzania Katika
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kukutana nao leo Juni 4,
2012 katika hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge jijini Arusha.
Wabunge
hao wapo Arusha tayari kwa kikao chao cha kwanza na wenzao wa Kenya,
Uganda, Rwanda na Burundi kesho ambapo wanatarajiwa kuchagua Spika wa
Bunge hilo pamoja na kuapishwa tayari kuanza majukumu yao.

PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa