Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha leo, akiwa ni mmoja wa wageni mashuhuri kuhudhuria mkutano wa afDB unaofanyika Jijini humo.
Home »
» Rais wa Ivory Coast awasalini Arusha katika mkutano wa AFDB



0 comments:
Post a Comment