Home » » WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA ARUSHA A TO Z, KIWANDA CHA MBOLEA MINJINGU NA KUFUNGUA MKUTANO WA WADHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA ARUSHA A TO Z, KIWANDA CHA MBOLEA MINJINGU NA KUFUNGUA MKUTANO WA WADHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua  utengenezaji  vyandarua na nguo
katika kiwanda cha A to Z cha Arusha Aprili 15,2012. Kushoto ni Mtendaji
Mkuu wa kwanda hicho,  Anuj Shah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mbolea iliyorundikana kwenye
maghala ya kiwanda cha mbolea cha Minjingu Mkoani Manyara wakati
alipotembelea kiwanda hicho Aprili 16, 2012. Kiwanda hicho kimesimamisha
uzalishaji baada ya mbolea yake kukosa soko. Kushoto  ni Mkurugenzi
Mtendaji wa kiwanda hicho, Tosky Hans. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea
kiingereza barani Afrika kwenye
hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16, 2012. Kulia kwake ni  Mdhibiti na
Mkaguzi  mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano Mkuu wa
Mwaka wa wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali wa Nchi zinazoongea
kiingereza barani Afrika kwenye hoteli ya Impala, Arusha Aprili 16,
2012. Kulia kwake ni  Mdhibiti na Mkaguzi  mkuu wa Hesabu za Serikali,
Ludovick Utouh. na kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa