Arusha
Home » » Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Azungumza na Umati Wa Wananchi Ofisi NdogoYa Chadema Mkoani Arusha Kuhusu Hukumu Ya Mahakama Ya Kutengua Ubunge Wa Mbunge wa Arusha Mjini(Chadema)Mh Godbless Lema Leo

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Azungumza na Umati Wa Wananchi Ofisi NdogoYa Chadema Mkoani Arusha Kuhusu Hukumu Ya Mahakama Ya Kutengua Ubunge Wa Mbunge wa Arusha Mjini(Chadema)Mh Godbless Lema Leo



Mwenyekiti
wa chadema,Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi kuu ya Upinzani Bungeni
Mh  Freeman Mbowe akiongea na wananchi waliouhudhuria mkutano huo katika ofisi ya chama
hicho mara baada ya mahakama kutengua ubunge wa Godbless Lema jijini
Arusha leo.
Mwenyekiti
wa chadema Freman Mbowe katikati  akitoa hotuba yake kwa wananchi
kushoto ni mbunge mteule  wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nasari
na kulia ni  Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini
mara baada ya hukumu kutolewa.

Picha na Gladnedd Mushi-Arusha


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa