Arusha
Home » » Zoezi La Kupiga Kura Limeanza Rasmi Arumeru Mashariki

Zoezi La Kupiga Kura Limeanza Rasmi Arumeru Mashariki



Upigaji kura umeanza tangu saa moja na mwisho wa kupiga kura itakuwa
saa kumi na moja jioni. Uchaguzi una waangalizi wa ndani na nje,
kulitokea rabsha baada ya baadhi ya mawakala wa chadema kukataliwa
kwenye vituo vyao.

Kuna jumla ya vituo 327. Tutaendelea kujuzana kwa kadri taarifa
zinavyozidi kudondoka.
Imeletwa na mjumbe Mohammed Mtoi
Na Mjengwa Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa