Home » » MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM ARUMERU MASHARIKI WAENDELEA VEMA

MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM ARUMERU MASHARIKI WAENDELEA VEMA


Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari  akisalimiana na wananchi kwa bashasha alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo  la Olkung’wado kata ya Ngarenanyuki jimboni humo.
Wananchi wa kijiji cha Ngabobo wakimthibitishia mratibu wa kampenbi za CCM uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba (kshoto) kuwa watampa kura mgombea wa CCM Sioi Sumari , wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho.
Mwigulu (kushoto) akiwa amejichanganya na wamasai kwenye mkutano wa Ngabobo, Ngarenanyuki wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Steven Wasira akimnadi Sioi mkutano wa Uwiro, Ngarenanyuki.
Kina mama  wa Olkung’wado kata ya Ngarenanyuki wakimshangilia mgombea wa CCM, Sioi.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,  Asha Abdallah Juma akihutubia mkutano wa kampeni kijiji cha Olkung’wado.
Mkazi wa Kijiji cha Uwiro kata ya Ngarenanyuki, jimbo la Arumeru Mashariki, Elielisia Kaayao akibandika kwenye duka lake bango la mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM  Sioi Sumari.
Wazee na Vijana wakimsikiliza kwa makini mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Uwiro, kata ya Ngarenanyuka.
Sioi na mbunge wa Ngorongoro, Lekule Laiza wakizungumza jambo baada ya mkutano wa kampeni wa kijiji cha Uwiro, Ngarenanyuki. kulia ni Mh.Wasira.
Sioi akiwasalimia vijana  kijiji cha Uwiro, Ngarenanyuki baada ya mkutano wa kampeni.
Kina mama wa Ngabobo wakienda kwenye mkutano wa kampeni wa Sioi kwenye kijiji hicho.
 Mwananchi akinywa maji kwenye bomba la maji safi katika kijiji cha Olkung’wado, baada ya kushikwa kiu akiwa kwenye mkutano wa CCM.(Picha na Bashir Nkoromo).

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa