Home » » Edward Lowasa apiga debe Mkutano wa Kampeni Kikatiti,Arumeru leo

Edward Lowasa apiga debe Mkutano wa Kampeni Kikatiti,Arumeru leo



Mh.Edward  Lowasa akimnadi mgombea wa CCM katika jimbo la Arumeru Mashariki Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa
akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki
leo kwenye viwanja vya Kikatiti,Wilayani Arumeru.

 Mh. Edward Lowasa akiwasili katika mkutano wa hadhara tayari kwa kuhutubia wakazi wa Arumeru leo.
 Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arumeru kupitia CCM Sioi Sumari akihutubia wapiga kura wa Arumeru katika mkutano wa hadhara leo.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya akitumbuiza katika mkutano huo
 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bumbuli January Makamba, Esther Bulaya mbunge wa viti maalum Singida na Mbunge wa Korogwe Steven Ngonyani Prof. Maji Marefu wakiwa katika mkutano huo.
 Msafara wa pikipiki ukielekea katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.
 Sioi Sumari akiwasili katika viwanja vya Kikatiti jimboni Arumeru tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo.
Picha na Full Shangwe Blog


Bofya hapa Chini kupiga Kura za Utabiri wako wa nani atashinda katika uchaguzi arumeru
UCHAGUZI ARUMERU


0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa