Arusha
Home » » Jeshi la polisi latoa tamko kuhusu milipuko ya mabomu.

Jeshi la polisi latoa tamko kuhusu milipuko ya mabomu.


Mkuu wa jeshi la polisi nchini inspekta jenerali Ernest Mangu ametoa tamko kuhusu matukio ya ulipuaji wa mabomu na kusema wananchi wasiwe na wasiwasi kwani jeshi hilo linaendelea na uchunguzi na sasa lipo katika hatua nzuri ila wahakikishe wanatoa ushirikiano katika kuwafichua wahusika

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa