Arusha
Home » » MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA YAFANA

MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA YAFANA



Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Elimu, Mh. Philipo Mulugo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa kwenye Mahafali ya Tano ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Abraham Nyanda akitoa Hotuba wakati wa Mahafali.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi, Eng. Dkt. Richard Masika akitoa Hotuba wakati wa Mahafali ya Tano ya Chuo.
Wafunzi bora Kumi (10) wakiwa wameshikilia Mfano wa Hundi ya Sh. Mil 10 wakiwa katika picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo pamoja na baadhi ya Wageni Waalikwa. Fedha hizi ni Ahadi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda (MB) kwenye mahali ya Nne na Tano. 
Kwa hisani ya Michuzi Blog


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa