Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa kuhusu
mabadiliko ya Tabianchi, Chanagamoto za Maendeleo na ukuaji wa Miji
Barani Afrika. Mkutano huo umefunguliwa leo Julai 24, 2013 Jijini
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya Jarida la Sayansi, kutoka kwa Mkurugenzi wa Sayansi
'Physical Sciences' (COSTECH) Prof. Clavery Tungaraza, baada ya Makamu
kufungua rasmi mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,
Jijini Arusha leo.
Profesa Rwekaza Mukandala, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya
ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya
ufunguzi.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya
ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo
baada ya ufunguzi rasmi.

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

0 comments:
Post a Comment