Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakihani msiba wa
msichana Patricia Joachim Assey (10) nyumbani kwa wazazi wa marehemu katika
kitongoji cha Majengo kata ya Elerai aliyefariki kutokana na mlipuko wa bomu
jumapili iliyopita Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti. jijini
Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Bw. Joachim Assey (aliyekaa kushoto
kwake) wakati akihani msiba wa msichana Patricia Joachim Assey (10)
aliyefariki kutokana na mlipuko wa bomu jumapili iliyopita katika Kanisa la
Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la
Kanisa Katoliki jijini Arusha Muadhama Josephat Lebulu alipowasili katika
makazi yake rasmi kutoa pole kwa shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu
Joseph, Parokia ya Olasiti Jumapili iliyopita.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete walipomtembelea
Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki jijini Arusha Muadhama
Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa pole kwa shambulio la kigaidi
katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti ambako alikutana pia na
Maaskofu wa Makanisa mbalimbali waliokuwa hapo Mei 7
Wananchi wakimuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete
baada ya kumtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha la Kanisa Katoliki jijini
Arusha Muadhama Josephat Lebulu katika makazi yake rasmi kutoa pole kwa
shambulio la kigaidi katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Parokia ya Olasiti
ambako alikutana pia na Maaskofu wa Makanisa mbalimbali waliokuwa hapo Mei
7,
(picha na Ikulu)





0 comments:
Post a Comment