Mwenyekiti wa ccm mtaa wa Kambarage,Gulam Fazali anayenyoosha mikono akimpa maelezo mhandisi wa maji wa manispaa ya jiji la Arusha,Paschael Emmanuel(wa pili kutoka kulia) aliyefika kusikiliza kero ya wakazi wa eneo hilo kuhusu ukuta unaojengwa na kiwanda cha Mt,meru ambapo waliulalalamikia kwamba unahatarisha chanzo cha maji kilichopo mkabala na ukuta huo wiki iliyopita ,pembeni kushoto wanaoshuhudia ni wakazi wa eneo hilo
(picha na mahmoud ahmad)
0 comments:
Post a Comment