Arusha
Home » » BREAKING NEWS: AJALI MBAYA DALDALA IMETOKEA MBELE YA TENGERU JIRANI NA DARAJANI MUDA HUU

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA DALDALA IMETOKEA MBELE YA TENGERU JIRANI NA DARAJANI MUDA HUU

 Kwa taarifa ya kusikitisha tuliyo ipata muda huu ambayo bado haijathibitishwa inadai kwamba kuna ajali mbaya imetokea katika eneo la Mbele ya Tengeru jirani na Daraja walipo kata migomba ambapo imehusisha gari la daladala ambayo inasemekana kulikuwa na abiria ndani na wengi wamepoteza maisha.

Tungoje pia Taarifa Rasmi kutoka Jeshi la Polisi 

Tunaomba muendelee kufuatilia taarifa hii.. Pichani ni baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia ajali hiyo muda huu



 Na: Arusha yetu Blog
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

1 comments:

Anonymous said...

dada napenda sana blog yako kutembelea na kuona yanayotokea Arusha jiji letu haswa sisis tulioko nje ya nchi kidogo sasa shida ni hii tu mpendwa huweki tarehe wala mwezi ya tukio unasoma habari hujuii imwtokea lini wala mwezi mbali ya mwaka ni hayo tu wakwetu other wise unajitahidi kutuhabarisha

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa