Arusha
Home » » WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA

WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA


Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama 
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.
Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla.
Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa Jeshi Usu.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa