Arusha
Home » » MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AWAANDALIA FUTARI WAUMINI WA MONDULI

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA AWAANDALIA FUTARI WAUMINI WA MONDULI


Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini.
 Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi akizungumza na waumini wakati wa futari iliyoandaliwa na Mh. Lowassa.
 Baadhi ya waumini wakipata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa.
 Mke wa mbunge wa jimbo la monduli Mama Regina Lowassa akizungumza katika ghafla ya futari  iliyoandaliwa na mbunge wa jimbo hilo Edward Lowassa iliyofanyika katika msikiti wa monduli.
 Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa akiwa na Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh Mwinshehe Mwinyi wakati wa futari aliyoiandaa kwa ajili ya waumini wa dini ya kiisalamu wilaya Monduli. Picha zaidi BOFYA HAPA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa