Arusha
Home » » NEWS IMETOKEA MCHANA WA LEO , PICHA NA VIDEO: NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AUAWA NA WANANCHI SAKINA ARUSHA SHUHUDIA

NEWS IMETOKEA MCHANA WA LEO , PICHA NA VIDEO: NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AUAWA NA WANANCHI SAKINA ARUSHA SHUHUDIA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 



 Chatu akiwa anatamba pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba
 Chatu huyo akiwa ametumbukia ndani ya nyumba Hiyo maeneo ya sakina mkoani arusha
 Hicho ni kitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo kwa nyuma kikiwa kina maandishi mekundu.
 Hapa ni chatu huyo akiwa amekatwa katwa baada ya wanainchi kumuua leo maeneo ya sakina mkoani arusha
Kwa mbaliii nikitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo
Wakazi wa eneo la Sakina mkoani arusha Leo walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.Ndipo wakazi hao wakaanza kumvizia chatu huyo na kutaka kumpiga lakini utata ukaibuka baada ya kudaiwa mama mwenye nyumba hiyo kusema wasimuue kwani ni mtoto wake,Lakini majirani hao hawakukubali ndipo walimkamata na kumuua kwa kumkata kata viapande,
VIDEO HII HAPA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa