Arusha
Home » » LIVE MUDA HUU KUTOKA ARUSHA, TUKIO KATIKA PICHA : KIJANA HUYU AKUTWA AKIMLAWITI MTOTO WA MIAKA 12 PEUPE! WANANCHI WENYE HASIRA KALI WATAKA KUMUUA!

LIVE MUDA HUU KUTOKA ARUSHA, TUKIO KATIKA PICHA : KIJANA HUYU AKUTWA AKIMLAWITI MTOTO WA MIAKA 12 PEUPE! WANANCHI WENYE HASIRA KALI WATAKA KUMUUA!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kijana mmoja muda huu ambaye alitambulika kwa jina moja la Ridhiwani  amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
 Tukio zaidi tazama hapa chini 
Ridhiwani  aliyembaka Mtoto wa Miaka 12 muda mchache uliopita
Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.

 Ridhiwani  akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12

 Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka
 Wananchi wenye Hasira kali wakiwa  wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...

Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF. 

Picha na Arusha yetu Blog
 

1 comments:

Anonymous said...

Huyo kijana anapatiwe adhabu ya kueleweka ili na wenzake wakome maana hao wako wengi sana hasa mashuleni,pia waalimu wawe makini huko mashuleni.watoto wasipofika darasani wafuatiliwe maana hao wakubwa wanawaharibu hao wadogo tena ataje ni mara ngapi na ni wangapi anaowatendea huo uovu!

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa