Arusha
Home » » :BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE BAR YA ARUSHA NIGHT PARK NA KUJERUHI WATU WENGI

:BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE BAR YA ARUSHA NIGHT PARK NA KUJERUHI WATU WENGI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

 Kuna taarifa kwamba Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........ Inarepotiwa Hakuna aliyepoteza maisha kuna majeruhi 8 mmoja ndo kavunjika mguu wengine wameumia sehemu za miguuni. 
Chanzo;Dj sek blog 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa