Arusha
Home » » Mazishi ya Marehemu Erasto Msuya mfanyabiashara aliyepigwa Risasi majiuzi Jijini Arusha

Mazishi ya Marehemu Erasto Msuya mfanyabiashara aliyepigwa Risasi majiuzi Jijini Arusha


Heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
 Nyumba ya milele ya marehemu Erasto Msuya ikiandaliwa.

Ni siku takribani sita zimepita tangu mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite aliyefahamika kwa jina la Erasto Msuya kupigwa risasi na kufariki dunia papo hapo katika eneo la Bomang'ombe karibu na njia panda ya KIA (Kilimanjaro International Airport), jana ni siku ya mazishi ya mfanyabiashara huyo ambaye alikua akiishi jijini Arusha maeneo ya kwa Iddi. Jana jumatatu utaratibu wa kuuaga mwili wa marehemu nyumbani kwake ulifanyika na jana Jumanne umepelekwa kuzikwa huko Mererani katika kijiji cha Kairo.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa